Zuma anaweza kumfunga huyu jamaa. Katika fasihi andishi huwezi kuweka vitu open namna hiyo. Yaani inaonesha ni nani unayemzungumzia. Kwa kutumia picha pekee ambayo kila mtu anaijua angeweza kufikisha ujumbe wake vizuri na bila kumpa Zuma ushahidi wa kumfikishia kwa Pilato kuwa anayezungumziwa ni Zuma.
Asinge andika majina halisi au angetumia fictitious names kama "Suma akimaanisha Zuma". Ila sijui Huko Bondeni utamaduni wao upo vipi ila Ingekuwa Bongo jamaa angetiwa hatiani kwani kila kitu kipo open