Katuni niliyoipenda

BAk
Hiyo katuni si mchezo eti 'The New cheer leader in town.' Kina Barack wameduwaa
 
maggid
Senior Member
Join Date: Sun Dec 2006
Posts: 73
Thanks: 0
Thanked 55 Times in 14 Posts
Kumbe jamaa alikuwa member humu!
Bila shaka kakimbia vijembe lazima atakuwa anachungulia.
 
aisee, BAK,, this is so sad an true,, sijui mwenyewe akiiona, atajipanga vipi?

Duh hii ni katuni yangu ya karne kwa kweli. Nitaitunza nije niwaonyeshe wajukuu zangu yaliyotukuta wakati wa ujana wetu kwamba we were very wrong kudhani kuwa urais ni kama umiss eti as long as una sura nzuri basi utaweza kuongoza nchi!!?

Kaizer hana cha kujipanga huyo unless humjuwi. Kwa taarifa yako hapo yuko kwenye 100% performance. Tumeliwa maskini mweeh!
 
Chaguo la Mafisadi Mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…