katiba mpya Kenya imeanza kufanya vitu vyake...ule ufisadi uliokuwa una kwenda kimya kimya sasa wahusika wanaswekwa rumande kuelekea mahakamani..........................................kama hiy katuni inavyojieleza........................hapo yupo William Rutto,,,,,,,Henry Kosygey na wengineo.................