Katuni ya Kingo na Tafsiri rahisi ya kivuli kirefu cha madaraka ya Rais

Kingo alipotelea wapi huyu, nazimiss sana katuni zake za miaka ya 90 zilikuwa fikirishi sana hazikuwa na maandishi yoyote.
 
Mr Vasco alianzisha bwaga moyo pot Mr jiwe akatia nyundo kubwaa bibie kaanzisha ujenzi upyaa.
 
Kikwete alijenga nchi, Mwendawazimu akatia nyundo na kuivunja vunja misingi ya Taifa😂😂😂

Samia anajaribu kujenga upya nchi ilioparaganyika.

Bila katiba mpya ya kuwadhibiti hawa wanaojiita watawala, tutabaki kuwa taifa lenye laana milele, hatufiki popote.

Na maendeleo tutakua tunaysikia tu kwa nchi za wenzetu.
 
Awe tuu specific kua ni ujenzi wa Bagamoyo Port, ila kiujumla Magu aliziendeleza bandari za Dar - Tanga mtwara kuliko raisi yoyote alopita.

Huyo kingo hajui anaucheza mziki wa nani ye mirindimo ndo inayomvutia.
 
Akavunja mipango wa bandari ya Bagamoyo, lakini yeye akaja na uwanja wa ndege chattou, bandari ya uvuvi chattou, mbuga ya wanyama chatou, hospitali kubwa chattou, vyuo kama veta chattou, mkoa chattou, chatou.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…