Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa masikini ni rahisi kutawaliwa huwezi kukata hiyo sukali hata iwe ndogo kiasi gani.Huu ndo mtizamo wa mchora vibonzo nnchini Masood kipanya..
Baada ya kupotea majimboni kwa miaka minne hatimae sasa wabunge wameanza kurudi na kibaba cha sukari...
Wao wanalamba Asali wananchi wanalambishwa sukari....[emoji23][emoji23][emoji23]
SI WANAJUA KWAMBA WANADEAL NA MIJINGA YA KUTUPWAHuu ndo mtizamo wa mchora vibonzo nchini Masood kipanya..
Baada ya kupotea majimboni kwa miaka minne hatimae sasa wabunge wameanza kurudi na kibaba cha sukari...
Wao wanalamba Asali wananchi wanalambishwa sukari....😂😂😂
View attachment 2718721