Katuni ya Kipanya: Baada ya kupotea majimboni kwa miaka minne, hatimaye sasa wabunge wameanza kurudi na kibaba cha sukari

Huu ndo mtizamo wa mchora vibonzo nnchini Masood kipanya..
Baada ya kupotea majimboni kwa miaka minne hatimae sasa wabunge wameanza kurudi na kibaba cha sukari...

Wao wanalamba Asali wananchi wanalambishwa sukari....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa masikini ni rahisi kutawaliwa huwezi kukata hiyo sukali hata iwe ndogo kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…