Katuni ya Kipanya leo jumanne, umeielewaje? Tushirikishe

Kaburi lilichimbwa na kijani kwaajili ya mtu Fulani ila ajabu hilo kaburi limegeuka kisima cha faida kwahiyo kijani imemlazimu aingie mwenyewe humo kaburini kupambana na maji yasiendele kuleta neema ila shughuli ni pevu. Mbombo ngafu
 
NIMEELEWA KUWA kipndi cha uchaguz wa cdm mzee wa kijani alichmba kabur ili wale wajizike, badala yake mambo yakawa kinyume hadi kaburi likajaa maji..sasa migogoro imeanza upya amekumbuka kuja kutoa maji ili aone kama watajizika tena, maanake hii ni karata yake ya pili kutaka kuwachimbia kabur.
 
Kaburi Ni uchaguzi ambao unataka kuzimwa na mafuriko ya no reform no election lkn bwana mkubwa kavua shati kutoa maji huku akicheka na kuona mafuriko Ni Jambo dogo ambalo haliwezi kuzuia kuzika japo maji bado yanaendelea kuingia kila anapoyatoa.
 
Kaburi la ccm limechimbwa lakini Mvua zimekuja na kulijaza maji ; hivyo Chadema wanatoa maji yaliyo jaa kaburini ili waweze kuizika ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…