Katuni ya kipanya ya leo kwenye mwananchi nimeipenda sana

Tolowski

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
122
Reaction score
20
Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania maskini na wenye uelewa mdogo
 
Mwambie aliyekutuma kuwa hatudanganyiiiiiiki...!!!!!
 
Tangu lini panya kaongea?
.
 
Panya na wewe lenu moja,fitina tu naajungu ndio mtajo wenu na hamna tofauti na Dovutwa
 
Kama mtaji wa cdm damu kwanini imwage na chama cha magamba, kwahiyo magamba wameamua kwa makusudi kuwapa cdm mtaji!
 
Ile katuni si mbaya in fact kipanya anaiuliza chadema ilimalizanaje suala la Arusha?
 
Panya na wewe lenu moja,fitina tu naajungu ndio mtajo wenu na hamna tofauti na Dovutwa

mtu akiihoji chadema, basi anafanya fitna na majungu eeh? kazi kweli kweli
hii ni hatari kama hamtaki chama chenu kihojiwe.
 
mtu akiihoji chadema, basi anafanya fitna na majungu eeh? kazi kweli kweli
hii ni hatari kama hamtaki chama chenu kihojiwe.

anzia kwa baba harafu dogo,kwa baba hujamaliza waenda kwa toto,we vp hela za kuuza trekta bomu zimekulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…