Katuni ya Rais Magufuli iliyozua Gumzo

Tusubiri mishahara itapanda mwakani...
 
Long live Mr president
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuna jamaa kaniuliza swali hili "kwanini unaikosoa serikali kila siku?" Nikasita kumjibu lakini Jibu langu lilikua hili "kwanini na wewe unasifia serikari kuliko unavyomsifia mkeo?"

Kuna aina 3 za kujibu swali... Mimi nimetumia ile aina ya tatu unajibu swali kwa swali.
 
Watu wenye akili hutumia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…