Mateso haya....du...ile ndoto ya Lema ijeAisee
Hovyo kabisaKuna jamaa kaniuliza swali hili "kwanini unaikosoa serikali kila siku?" Nikasita kumjibu lakini Jibu langu lilikua hili "kwanini na wewe unasifia serikari kuliko unavyomsifia mkeo?"
Kuna aina 3 za kujibu swali... Mimi nimetumia ile aina ya tatu unajibu swali kwa swali.
Jela inakusubiriMateso haya....du...ile ndoto ya Lema ije
FactWatu wenye akili hutumia hiyo