Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
they enjoying us..mkuu wao ndiyo wameshika mpini I know wengi humu mnabeza ila ukweli ni huoHizo mada za mason huko kijijini kwenu bado zipo?
east afrikaHii shida ya internet kwa sasa tz, pia ipo sehemu nyingne duniani ?
So Electromagnetic Bomb itafuta data zote? Hii itakuwa hatari sana.Hivi unadhani hii ndio mara ya kwanza au itakuwa mara ya Mwisho ?
Haya mambo yanatokea na ni kawaida cha maana ni kuwa na back-up za kutosha..., ila kitu kinachotisha watu na kipo kwenye movies ni bomu la Electromagnet Bomb hence wiping out of the data.... Hence watu kufikiria protection ambayo ni faraday cages
Ni kwamba electronic data storage is affected by electromagnet ndio maana kama ulishaangalia Series ya Breaking Bad aliweza kufuta data kwenye storage kwa kutumia electromagnet - That scene was / is based on True Facts - If You put a Strong Magnet kwenye digital data storage you wipe out the data....So Electromagnetic Bomb itafuta data zote? Hii itakuwa hatari sana.