Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania wanapozungumza ,wawe wa serikali au wa vyama vya siasa,hata huko kweny vyuo au hata wale maprofesa kwa kweli utafarijika na kujihisi umerudi utotoni kabisa,
Hata vitendo na maamuzi yanakuwa ya kufurahisha maana hata akilini hayaingii lakini inabidi uyapitishe kwa nguvu ili kuzidisha kuwaona ni watu wa ajabu,yaani wanayoyasema ni mtihani mtupu,kuweza kuyakubali,si ajabu kuona watu wazima hao kuzungumza uwongo,yaani uongo kuugeuza kuwa ukweli kwao ndio moja ya fani,japo mtazamaji unaona wazi wazi hapo unadanganywa,kinachobakia unazidi kucheka kwa sauti.
Sasa tujiulize wasomi mliomo humu kifanywe nini ? haki ya Mungu majibu mtakayotoa yatazidi kuvunja mbavu,inafaa wanasayansi waje kutufanyia uchunguzi,hilo nalo neno ! Wenginewetu najua mnahisi nimesema jambo la ajabu na mnaanza kufurahi.
Tufanye nini au kitu gani au jambo gani ili akili zetu na za viongozi wetu zikae sawa ?