Kaugali na maziwa ya mgando kwa wanawake

Wekeni picha wakuu.
Maana habari bila ushaidi aijakamilika.
 
Hiyo mgando ikitoka mostly inakuwa kuna miled infection ambayo inaweza kupona yenyewe. Mwili ukishindwa kuimaliza utoko utaanza kunuka samaki. Utoko unapaswa kuwa colourless na una marhamu spesheli ukiyaskia tu nywele zinasisimka lol.
Kujisafisha na vidole ama douching ndio haswa inapelekea hizo infections.
King'asti anahusika sana hapo Ila nijuavyo mie sio kawaida Ute Huo Kuwa kama maziwa mgando.
 
Sa tujisafishe vipi mkuu? Mi nmezoea kidole,,hata matron wangu o level alinifundisha niweke kidoke, sasa nashangaa unasema kidole cgaweza leta infections
 
hizo ni natural lubricant na disinfectants mjomba zinatolewa na gland zilizopo kn eneo husika hasa zinapokua stimulated. wanaosema fungus, uchafu, wote walisoma chini ya mbuyu ucku wa manane wakiwa uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…