Kaugonjwa ka ATC kanaambukiza?

Kaugonjwa ka ATC kanaambukiza?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Naam kama ugonjwa unaambukiza basi huu wa ATC (Any time cancellation) umeashaanza kuambukiza. Sikuamini masikio yangu pale JRO niliposikia kuwa ndege ya KLM nayo imepata mafua ya ATC. Badala ya kuondoka jana saa tatu usiku ndege imeondoka leo asubuhi 12 na nusu. Je ni ugonjwa huu huu unaommaliza ATC? Labda
 
Back
Top Bottom