mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,582 Reaction score 4,378 Jan 27, 2019 #1 ni ile hali ya kufua nguo halafu kila baada ya dakika tano unaigeuza geuza utafikiri unabanika samaki jikoni, na pia unahamisha nguo kila wakati kwa kufuata mwanga wa jua.
ni ile hali ya kufua nguo halafu kila baada ya dakika tano unaigeuza geuza utafikiri unabanika samaki jikoni, na pia unahamisha nguo kila wakati kwa kufuata mwanga wa jua.
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,105 Jan 27, 2019 #2 What is the moral of this post?? Sent using Jamii Forums mobile app
mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,582 Reaction score 4,378 Jan 27, 2019 Thread starter #3 kanali mstaafu said: What is the moral of this post?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... tulia we dogo nenda kwenye jukwaa la siasa.
kanali mstaafu said: What is the moral of this post?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... tulia we dogo nenda kwenye jukwaa la siasa.