Kauli 10 za walimu darasani

Usiponielewa mfn wa kwanza nisubiri wa pili, usiponielewa wa pili nisubiri wa tatu na usiponielewa wa tatu nisubiri ule wa nne. Ninatoa mifano minne kwa sababu Yesu alianguka mara tatu nami naanguka mara moja.

Usiponielewa katika mifano yote hiyo basi KICHWA CHAKO KINA KOKOTO NA NITAZITOA!
(Maths teacher Irambo Sec Schl 1997).
 
Mnataka mke wangu na mwanangu waje kufagia darasa.. Hapo ticha kakuta darasa chafu sec hiyo
 
Reactions: y-n
duh..!! namba 5 inankumbusha mwalimu wa englsh o-level arage secondary.mbeya madam mahenge
 
enzi hizo hakuna mabegiya kuwekea daftari, tunazitumbikiza mgongoni, ukifika home usipokumbuka kuzitoa mgongoni asubuhi unaamka nazo, unaingia clas tena, tumetoka mbali sana.

Hahahahhaha huu ni ununda😁😁😁😁
 
Tutakutana kwenye mtihani na ole wako ufeli ndo utanambia jina la utotoni
 
understand what you dont know not what you know.
physics karaseco
 
Hvi watoto wa leo kwann hamuelewi?!,mbona mambo mengine mnaelewa sana
 

Nenda SUA, Utasema UDSM na wastani wa 35%
 
"Kucheka ni dharau" hapo ni Master parade anatoa matangazo halafu akachapia mkacheka
 
"Wasichana mnaojikalisha vibaya ili kunitega na hivyo vichupi vyenu uvundo mnajisumbua,

mimi sitegeki"
 
Wengine hapa mnajifanya mnajua sana kumbe hamjui kama hamjui ni heri uwe hujui kama unajua ukijulishwa utajua.

Huyo ni Mwalimu wa Geography Usagara SS miaka ya 80-90, RIP Ndyamkama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…