LGE2024 Kauli Bi. Happiness Seneda ya kusema watakagua wasiopiga kura inaweza kuichonganisha Serikali na watumishi wa Umma. Rais tafadhali muondoe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Naunga mkono hoja...Huyo Katibu tawala hatoshi kwenye icho kiti kama uwezo wake wa kuchakata mambo upo vile.
 
Huyubdada ni nsugu na Magu alimchomeka tanroad .....alipokuwa Pres akampa das kisarawe baadae RAS iringa sasa songwe amebebwa sanaa tunamjuaa ni kilaza sanaa empty set
Alisoma Ardhi university ?
 
Mfumo mzima umevurugika, itachukua muda kurudi kwenye mstari tena.
 
Hivi nyie watumishi Huwa hamna hasira

Mnashindwa Nini mtu kama huyu kumtukana live, au hata kurusha teke
 
Kuna watanzania wanapewa nafasi za uongozi lkn Sheria na kanuni za nchi hawazisomi, ALIYEKUAMBIA KWENDA KUPIGA KURA NI LAZIMA NI NANI? Kwa sheria ipi na kanuni zipi. Asiwalishe watu matango pori na kuwatishia watumishi. Binafsi nilimsikia akitoa maneno hayo. Halafu katika uchaguzi huu yeye ni nani?
 
Kauli ya kawaida kabisa, kama unavigezo vya kupiga kura kwanini usiende kupiga
Kupiga na kutopiga kura zote ni haki za kikatiba.

Na inawezekana kabisa kutopiga kura kukawa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na uchaguzi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…