Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Kuna huyu aliyesema;
" I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
 
Shilole alianza na sufulia 2 kufungua mgahawa wake kama sijakosea.
 
FB_IMG_1714844346770.jpg
mwalimu wangu
 
True motivational speech:

^Ajiri mtu mvivu kwa sababu ndiye atakuwa mvumbuzi bora katika harakati za kuusabilia uvivu wake.^ ~Bill Gates
 
Back
Top Bottom