Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

Daaaa umemaloza zote😃😃😃
 
Kauli ya kupigana na Iddy Amin
 
Ukishikwa shikamana ,huyu alikua mwalimu mlezi wa bweni
 
Daa! Mie kwanza hata mwalimu wa drs alikuwa hanijui kabisaaa!

Walianza kujiuliza huyu nani baada ya kufumua paper mfululizo! Bila kupumzika halafu nilikuwa sijui km nafaulu vile!
Kwenda kuchukua zawadi za ushindi nilikuwa natafutwa.mara nacheza.Mara sipo shuleni! Ilimradi tu mie sijui kinachoendelea.nilikuwa mkimya sana.

Hata matokeo nilikuwa naambiwa hapa uko vizuri ndo kidooogo nikaelewa. But utoto ulinizidi hata kwenda sec. Sikujua ki viile.

Nilipelekwa tu. Form four ndo nilijitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…