Swali lako halieleweki kwa sababu:
Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???
Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.
Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??
Siku njema
Ahsante DA,
Ukizingatia kuwa mke hasomeshwi,
anafundwa na wazazi wake jinsi ya kuishi na mume.
Dena,kuna elimu nyingi sana,sijazungumzia elimu uliyosoma wewe ya kujua kuandika na kwenda na sijui ufagio,elimu ninayoizungumzia hapa ni elimu ya malezi ya kuwandaa marais,mawazir,baba,mama na walezi wa kesho,so unaweza ukawa "MKE" na ukawa huna elimu hii!
Swali lako halieleweki kwa sababu:
Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???
Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.
Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??
Siku njema
Swali lako halieleweki kwa sababu:
Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???
Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.
Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??
Siku njema
Nimejiuliza swali hili baada ya kuchoka kusikia vimbwanga vya ma-HG,kauli yenyewe ni kuwa;UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA,kwanza ni elimu ipi?Pili,sasa ni yupi kati ya hao wawili?HG au MKE?Au ni elimu ya malezi?Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia kwa ulimwengu wa sasa!Au ni wanawake wote?Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao!
asante sihitaji kuongeza neno, siku njema
Swali lako halieleweki kwa sababu:
Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???
Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.
Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??
Siku njema
Tunapoelekea huko kutakuwa hakuna kuishi na ma hg tena maana shule za kumwaga zimeanzishwa
kwa hiyo kila mwanamke atahitaji kulea family yake mwenyewe... kama wenzetu huko wanavofanya
elimu ni kw wanawake wote, coz hata Ma HG badae watakuwa na familia zao
Wewe unazungumzia namna ya kuishi na mume mi nimezungumzia namna ya kuwalea wote.Nafikiri unajua maana ya FAMILIA!
DA kwa afupi anatakiwa amsomeshe mwanae wa kike
Hebu soma hiyo red utanielewa
Kaka Eiyer,
Bila kuishi na mume utalea familia????, Ukijua namna ya kuishi na mume ndio familia yenyewe.
Unaposema "Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia"
"Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao! .
Hapo mwanamke unakuwa hukumpa jukumu lolote, huyo Dada yeye anamlea mume?????