Napata tabu kukuelewa coz,unawaza mbili kabla ya moja,faham sio kila mwanamke ni mke,nimezungumzia mwanamke,pili nimezungumzia HG ambae nae ni mwanamke lakini ni mke mtarajiwa kama akitaka,sasa unaposema sieleweki nami nashindwa kukuelewa,mke na HG majukumu yao ni tofauti,and so elimu pia,DA vipi?
Kaka Eiyer,
Bila kuishi na mume utalea familia????, Ukijua namna ya kuishi na mume ndio familia yenyewe.
Unaposema "Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia"
"Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao! .
Hapo mwanamke unakuwa hukumpa jukumu lolote, huyo Dada yeye anamlea mume?????
Kumlea mume kuna maana gani?Kama ni kumpikia,kumfulia,kuhakikish nyumba inakua safi na hata kununua aina ya chakula nyumbani huyo atakua Dada,tofauti na haya ni yapi majukumu ya mke kwa mumewe?
Kiswahili bana.........kigumu kinoma!Babu,inatakiwa tuanze na wale wanaosema ukimuelimisha "mwanamke"umeelimisha jamii nzima!
huyu inatakiwa unamuelezea kwa kirefu aelewe
Kiswahili bana.........kigumu kinoma!
Umwelimishe mwanamke.......... Yaani ukamtafute bibi yangu mamshanga uanze kumwelimisha? Unataka kutiwa bakora?
Kiustaarabu haumuiti "House Girl",...its an insult.
Kibongo bongo unaita "Dada",...ina mpa respect na anafeel as a part of the family.
Back to the topic:No comment
Nimejiuliza swali hili baada ya kuchoka kusikia vimbwanga vya ma-HG,kauli yenyewe ni kuwa;UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA,kwanza ni elimu ipi?Pili,sasa ni yupi kati ya hao wawili?HG au MKE?Au ni elimu ya malezi?Kama ni hiyo inamfaa HG Kwa sababu HG ndiye anaelea familia kwa ulimwengu wa sasa!Au ni wanawake wote?Lakini kama ni wote taifa litapata hasara kwa wanawake wengi kwani wataelimishwa halafu hawataitumia vyema elimu yao!
kwa kuongezea tu Dena zipo familia nyingi ambazo HG anaendelezwa kielimu kama evening class za 'o' level au veta kujifunza ufundi stadi.Swali lako halieleweki kwa sababu:
Unamaanisha nini kumsomesha "MKE"????
Unamaanisha nini kumsomesha "Maid" aka "Dada"???
Naona kama huelewi wanapomaanisha kumsomesha Mwanamke.
Napenda nikwambie hawamaanishi kumsomesha "Mke" huyo tayari
anakuwa amesomeshwa na wazazi wake wanachomaanisha
kumsomesha mwanamke ni wale "Mabinti" "Wasichana" ambao bado
hawajaolewa sasa wewe mwenzetu umekuja na ya kumsomesha "Mke"??
Siku njema