Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Eti mwanamke hapigwi, hata akikutukana kwa madharau mbele za watu, watu wanasema "mache ondoka zako." Mara mwingine asema mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa kwa upande wa kanga. Na wao ndiyo wanatumia hii mbinu kutoa majibu ya hovyo ya kuudhi na kejeli juu kwa wanaume tena mbele ya kadamnasi, wakijua kabisa hawawezi kupigwa. Endapo wakipigwa, wanaume watakuwa upande wao, na kweli inakua hivyo. Unakuta kidume unadhalilika kwa matusi, ukishusha kelbu wanaume wenzio wanakugeuka kabisa, eti “kaka mwanamke hapigwi, kaka we vipii, we kausha tu.” Mtu akaushe wakati anatukanwa matusi mazito mbele za watu?
Leo kuna jamaa katukanwa na kidada flani kwenye daladala. Kisa, kidada kimegongwa tu na begi ambalo jamaa kalibeba mgongoni. Jamaa kaomba msamaha kidogo, bado kinaendelea kumsimanga: "Wakaka wengine hamnazo kweli, nafasi yote hiyo ndo aje anitwishe libegi lake hapa?" Akatoa msonyo mkali sana jamaa, uvumilivu ukamshinda akataka kuchukua hatua kwa zile kejeli. Mara watu hao wakaanza kumchanganyia jamaa, eti "wewee mtoto wa kiume acha kutaka kupiga wanawake, mara oooh mwanaume mzima unataka kugombana na mwanamke, utakua hauko timamu, wewee."
Wazee, ni upumbavu gani huu tunauendekeza aisee? Yani mwanaume mwenzetu adhalilike na bado anaonekana yeye ndo kakosea? Hii tamaduni ni ya wapi hii? Niliyekuwa upande wa jamaa ni mimi peke yangu, nikasema, "Oya, mtie kitasa huyo, mbona umeomba msamaha na bado anaendelea kukutolea kauli chafu." Mijitu yote ikageuka kunitolea macho, nikakazia, "Jamaa anadhalilika, nyie mnafurahia, sio?"
Hili jambo la leo limeharibu siku yangu kabisa. Eti watu wengine ka wats*nge, kwani hili gari la mizigo mpaka usumbue watu? Duuuh, nilitamani sana ningekua ni mimi, mbona mtu angetokea dirishani.