Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #241
Ahahahaha naona eeKwani anaingia pm kwake hadi aone?
Kiswahili kingereza huelewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo ivoooo. Ukaingia pm kwa shemej unakutana na wife wake kwanza
Unakula kichambo kitakatifuu@Mama Sabrina acha wivu!
Hapana kabisa mimi sio wa hivyooUnakula kichambo kitakatifuu@Mama Sabrina acha wivu!
Kidogo tuKumbe je?!!kakaba mpaka penalty!
Anatania usimuamini huyo shunie anakutishaNa kuchamba juu anachamba
Anatania usimuamini huyo shunie anakutisha
[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Ney atosha [emoji1]
Usiogope wanakutisha tuJamani nilishaanza kuogopa mie
Sijui unakuwa wapiiiMhhhh jamani sijui kwanini nimechelewa kiasi hiki
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]Wasipo tosha hao tutajitosha wenyewe[emoji23]
Haahahhahaah[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji23] [emoji23] "kuchezewa mume wangu nasema sitaki jitoeee!"Hapana kabisa mimi sio wa hivyoo
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Hanaga maneno mengi ni vitendo tu Ice mimi na ney tuna bahati sana
Nakujua tena we ulivyo mkalii najua kule sitasogea kabisaa kwa King wetu[emoji23] [emoji23] "kuchezewa mume wangu nasema sitaki jitoeee!"
Mama acha tuu nilikuwa napika madikodiko ya haja ndio yamenimalizia mudaSijui unakuwa wapiii
Ney hakuna kuachika[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kweli kabisa na hii kauli tusiipuuzeNey hakuna kuachika
Kakaa kimya mno nae eti basi leo umemuonaMama acha tuu nilikuwa napika madikodiko ya haja ndio yamenimalizia muda
Hongera kwa kumleta G