Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #141
Hapa unanipa asilimia ngapi?maana siku nyingine unanibishiagaEeeh
Kabsaa
Na uache hiyo tabia utakosa mkeAisee,hawajaribiwi kabisa!
Hapa uko sahihi kabsa mamHapa unanipa asilimia ngapi?maana siku nyingine unanibishiaga
Hakuna kwenda Rwanda sawa?Hapa uko sahihi kabsa mam
AlmashukraaaAsante
Hakunaaa hahahahaHakuna kwenda Rwanda sawa?
Kiboko ya uchafu yale madoa meusi mimi kama jiki nasafishaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe kibokoo
Aisee nimeacha!siku hizi hilo sound sipigi tena!Na uache hiyo tabia utakosa mke
Sawa uwe mwanaume mzurii ukisema kitu unamaanishaAisee nimeacha!siku hizi hilo sound sipigi tena!
VizuriiHakunaaa hahahaha
Ney atosha [emoji1]Vizurii
Ndio hivyo,sema tatizo wadada wengi siku hizi wako desperate sana na mambo ya ndoa!Sawa uwe mwanaume mzurii ukisema kitu unamaanisha
Saa nyingine mnajisahau inabidi tuwakumbushe banaNdio hivyo,sema tatizo wadada wengi siku hizi wako desperate sana na mambo ya ndoa!
Melvin anatoshaNey atosha [emoji1]
Nimeogopa nikikojoa nitawalonishaa wote humu muwe chepechepee
Wasipo tosha hao tutajitosha wenyewe[emoji23]Melvin anatosha
Umependezesha kila kitu, Lakini umenihuzunisha kwa jambo moja tu.Hakuna kwenda Rwanda sawa?
Eeeee kumbe unajua hapo tu unanifurahishaga Iceman uishi miaka mingiWasipo tosha hao tutajitosha wenyewe[emoji23]
Jambo gani umehudhunika badala ya mimi tenaUmependezesha kila kitu, Lakini umenihuzunisha kwa jambo moja tu.