Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Magonjwa ya zinaa yana athari mbaya katika mwili wa binadamu. Hivyo ni wajibu wetu sisi kujikinga kwa njia tofauti kama wataalamu wetu wa afya wanavyotuelekeza.
Kinga hazipaswi kuadimika, namna ya kupambana na magonjwa ya zinaa ni kinga kutumika kwa usahihi ili mwili ulioathirika uwekewe mipaka hii inasaidia hata katika kipindi cha matibabu badala ya kutibiwa wagonjwa 1000, basi kiwango kishuke watibiwe angalao wagonjwa 300.
Swala la ngono lichukuliwe kama sumu ambayo haruhusiwi mtu kugusa kabla hajavaa gloves ama vifaa vya kulinda ngozi
Kauli mbiu "Ngono ni hatari kwa afya tumia kinga kwa usahihi"