Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Umezungumza kwa hisia, ili kuendelea kufurahia basi hatunabudi kutumia kinga na kufuata maelekezo yanayotolewa na wizara ya afyaTatizo ni K tamu
Kutumia kinga ni jambo moja ila unayefanya nae kuridhia ni jambo jengine. Wengi hawapendi kinga wanadai zinawaumiza😂 yani kula K na kinga wakati mwengine demu anaona bora usimle tu!Umezungumza kwa hisia, ili kuendelea kufurahia basi hatunabudi kutumia kinga na kufuata maelekezo yanayotolewa na wizara ya afya
Inawezakuwa sababu ya kutokutumia kinga basi wapenzi wapime afya zao na swala la kupima afya lina maana kubwa katika familia kwani uzao unahitajika, hivyo basi kupima afya kunalinda wapenzi na familia kwa ujumlaKutumia kinga ni jambo moja ila unayefanya nae kuridhia ni jambo jengine. Wengi hawapendi kinga wanadai zinawaumiza😂 yani kula K na kinga wakati mwengine demu anaona bora usimle tu!
Hapo umenena mkuu ila vipi unayetaka kupima nae afya akiwa anagoma goma kupima?Inawezakuwa sababu ya kutokutumia kinga basi wapenzi wapime afya zao na swala la kupima afya lina maana kubwa katika familia kwani uzao unahitajika, hivyo basi kupima afya kunalinda wapenzi na familia kwa ujumla
Piga chini,hajiamini huyoHapo umenena mkuu ila vipi unayetaka kupima nae afya akiwa anagoma goma kupima?
Inapotokea hali kama hiyo ni swala la kumpa elimu juu ya faida za kupima vilevile kumwondolea hofu, wakati mwingine anayekataa kupima, tatizo linasababishwa na hofu na mawazo hasi juu ya maambukizi ya magonjwa ya zinaaHapo umenena mkuu ila vipi unayetaka kupima nae afya akiwa anagoma goma kupima?
Nikweli wabishi ndio maana changamoto za afya hazipunguiTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...