Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 30, 2025 #1 Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,600 Reaction score 9,555 May 30, 2025 #2 Imekaa kimtego sana.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 May 30, 2025 #3 Mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani. Ccm zilongwa mbali zitendwa mbali
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 May 30, 2025 #4 Kazi na Utekaji. Mbunifu Wa kauli mbiu Dotto Magari.
Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 2,559 Reaction score 2,433 May 30, 2025 #5 Kazi ni hamna ila utu ndo hamna kabisa. Mafuta tunayopoteza kumsafirisha Lissu to & fro mahakani na by that time Mbowe then mwisho wa siku Jamhuri imeachana na kesi it is better ikajenga vyoo vya magereza na hawa wakajibiwa hoja zao kwa kazi na utu.
Kazi ni hamna ila utu ndo hamna kabisa. Mafuta tunayopoteza kumsafirisha Lissu to & fro mahakani na by that time Mbowe then mwisho wa siku Jamhuri imeachana na kesi it is better ikajenga vyoo vya magereza na hawa wakajibiwa hoja zao kwa kazi na utu.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 May 30, 2025 #6 Yoda said: View attachment 3351128 Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa. Click to expand... Kazi na Kuua Mtu tu na Utu wake, Tunasonga Mbele
Yoda said: View attachment 3351128 Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa. Click to expand... Kazi na Kuua Mtu tu na Utu wake, Tunasonga Mbele
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 May 30, 2025 #7 Hiyo utu labda ni UTUMWA ila wameficha. Hakuna utu mahali watu wanauwawa mchana kweupe halafu tunaambiwa kifo ni kifo.
Hiyo utu labda ni UTUMWA ila wameficha. Hakuna utu mahali watu wanauwawa mchana kweupe halafu tunaambiwa kifo ni kifo.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 30, 2025 Thread starter #8 Matrix19 said: Hiyo utu labda ni UTUMWA ila wameficha. Hakuna utu mahali watu wanauwawa mchana kweupe halafu tunaambiwa kifo ni kifo. Click to expand... Labda imefupishwa!
Matrix19 said: Hiyo utu labda ni UTUMWA ila wameficha. Hakuna utu mahali watu wanauwawa mchana kweupe halafu tunaambiwa kifo ni kifo. Click to expand... Labda imefupishwa!
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 May 30, 2025 #9 Lucas Mwashambwa tusaidie hapa we debe tupu
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 May 30, 2025 #10 Kinoamiguu said: Mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani. Ccm zilongwa mbali zitendwa mbali Click to expand... Hapana, ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya!
Kinoamiguu said: Mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani. Ccm zilongwa mbali zitendwa mbali Click to expand... Hapana, ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya!