wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.
Nakumbuka kunamtu aliipropose hi kauli mbiu muda naona imekubalikaNimeipenda kauli ya mbiu hii ya "Kafumu Afumuliwe" yaani hapa namkumbuka kamanda wangu mzee wa kuwafumua - dume la mbegu Mwigiru.
wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.
Mbona hii ndiyo imekaa vizuri, Kashindye - ASHINDE, Kafumu - AFUMULIWE na Mhona - TUMEMUONA.wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na Kashindye waliitikia Ashindwe kwa sauti kubwa, kafumu waliitikia Afumuliwe kwa sauti kubwa, na aliposema Mahona waliitikia Tumemuona kwa sauti huku wakirukaruka, haya ndio yaliyojiri huku Igunga Leo Asubuhi.
akili za CUF kama za wale wazee wa BAKWATA kabisa,