Uchaguzi 2020 Kauli mbiu ya "sasa basi" ichagizwe na msemo huu wa lugha ya kingereza: "enough is enough"

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
CHADEMA, mnapotumia msemo wa "sasa basi", ni vizuri msemo au kauli mbiu hii mkaichagiza kwa kusema,"enough is enough".

Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani unaeleweka vizuri kwa watu wengi katika miji na majiji.

Namalizia kwa kusema,"enough is enough ".
 
It is of no effect as long as you're a minority.
 
CHADEMA,mnapotumia msemo wa "sasa basi", ni vizuri msemo au kauli mbiu hii mkaichagiza kwa kusema,"enough is enough".

Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani unaeleweka vizuri kwa watu wengi katika miji na majiji.

Namalizia kwa kusema,"enough is enough ".
Ila yule jamaa wao lugha ya malkia inamtatiza sijui ataelewa?
 
Anzeni na msemo huo wa kiswahili kisha ufuatiwe na huu wa kingereza kwani unaeleweka vizuri kwa watu wengi katika miji na majiji.
sema unaeleweka vizuri kwa mabeberu mnawatumikia
Halafu mbona uchaguzi huu maelekezo na ushauri ni mwingi sana?
 
Back
Top Bottom