Halafu jezi watazovaa soura ni za NJANO 😀😀 hapo patanoga sana
ninaamini kuna watu muda huu wanateseka sana...Watalia sana hao Mikia FC siku hiyo.
na wanatamani jmosi ya leo ingefutwa kwenye kalenda
Ha ha ha ni kweli.na wanatamani jmosi ya leo ingefutwa kwenye kalenda
Simba Ushindi Wakati Wote
Jamaa Wameanzia Mbabane,Nkana,Leo Kwa Waarabu Na Bado Sana Wanakomaa
Nimeamini Sikio La Kufa Halisikii Dawa
Sikioni La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Watalia sana hao Mikia FC siku hiyo.