ngogo s ngogo
Senior Member
- Nov 29, 2015
- 134
- 81
Piga underdog Fc hao.
Mungu wabariki JS
Saivi una kinyongo na hao saoura
Inakuwa ndefu sana....Nimeona Kauli mbiu ya Simba watakayotumia siku ya Jumamosi kwenye pambano lao na Saoura ya Algeria. Kwa ushauri wangu Kauli mbiu hii ingekuwa kwa kiswahili maana wengi wetu hatujui kiingereza. Nashauri ingeandikwa hivi "KATIKA UMOJA WETU USHINDI NI LAZIMA".
Hadi Hapo Ilipofika Ni Mbali TayariAl ahali 2-0 wanyampala
God bless al ahali
Simba hawafiki popote