Kauli mbiu ya Total War yawakera baadhi ya mashabiki wa Simba SC

yani yanga wakitaka ubingwa wa ligi mpaka hapo watakapo badilisha hilo lislogan lao "daima mbele nyuma mwiko"
mpaka wautoe huo mwiko huko nyuma kwao ndo watapata ubingwa VPL
Iyo"Daima"ipo mbele.
"Mwiko"wameuchomeka nyuma.
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.

Wapi uliona kauli ya kijeshi inazua hofu kwa watoa Kauli?
 
Droo na Al ahly NITAHESABU NIMEFUNGWA. Simba hii sio ilee.mpira utapigwa mwingiii. Tangu Tanzania ianze haujawahi kupigwa
duh,watu mnajiamini,haya ngoja tuone hiyo baadae,Wana Simba mtambue hao sio ihefu
 
Kanywe sumu ufe sasa
 
No Retreat No surrender
THIS IS SIMBAAAAAAAAAAAA
 
Kweli bwana utopolo, utabiri wako ulikuwa sahihi kabisa, bila shaka matokeo unayo na wala si matokeo ya sare kama ulivyotabiri!
 
Yaani wewe haya sasa 1-0 unalipi la kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…