Endelea kuota jua ndani ya Maji.Idriss milioni 500 zimeisha kaamua kuajiriwa kama mtangazaji
Kiba no MTU aliefeli siku nyiingi ila ni kama anaswagwa na wasiomtakia mema Diamond
Wema hajitambui,anaamini atabakia kua na miaka 20,milele
Hahahahaaaaa uwiiiiiiiiiHivii hizo kucha za wema huko chini anasafishwa na msichana WA kazi au?
Hahaha mkuu kwan si zinabanduka? Atakua anaweka kila siku mpya