mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,151
Hebu tuwekane sawa tusije kurukana kimanga baadaye.
Nauliza tu. Kauli na matamko yanayotolewa na mgombea wa CCM, Mh rais John Pombe Joseph Magufuli ndio msimamo rasmi wa chama au ni kauli na maoni yake binafsi?
Nasema hivi ili baadaye tutakapowauliza/ mtakapobanwa msije mkasema zilikuwa kauli zake binafsi au msimamo wake binafsi.
Kuna kauli za kibaguzi zinarudiwa rudiwa sana na huyu mgombea kwamba watu wakichagua upinzani wasahau kupelekewa miradi ya naendeleo. Nimemsikia pia Mama Suluhu Hasan akiikariri pia hii kauli kwenye moja ya mikutano yake.
Je, hii ni sera mpya ya Ccm na ni msimamo mpya wa CCM? Tafadhali, hebu liwekeni hili sawa!