Kauli nyingine ya Robert Mugabe wa kwenye whatsup

Kauli nyingine ya Robert Mugabe wa kwenye whatsup

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Hivi kama TUNDU LISSU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA na HALIMA MDEE hawapo BUNGENI.

naona BORA wafunge BUNGE wote waondoke..

Ni sawa na kufungua BAR alafu hauna BIA hata moja una SAYONA tu.

Robert Mugabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..hili ni tusi kwa wabunge wote wa upinzani waliobaki ndani ya bunge. Na kamwe hatuwezi kuendelea kukubali wabunge wetu waliobaki bungeni waendelee kutukanwa!
 
..hili ni tusi kwa wabunge wote wa upinzani waliobaki ndani ya bunge. Na kamwe hatuwezi kuendelea kukubali wabunge wetu waliobaki bungeni waendelee kutukanwa!
Kila kitu kina umuhimu wake kwenye gari mkuu, angalia mwenye pichani
[/URL]
1464848411065.jpg
 
Back
Top Bottom