Naanza na Samweli Sitta
"Kuanzia sasa, nitakuwa makini sana kwa siku za usoni kuhusu taarifa za intaneti maana zinatuvuruga"
Aliyasema hayo bungeni tarehe 2007-06-30 muda mfupi baada ya Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA-Kigoma Kaskazini) kuzungumzia tuhuma za ubadhirifu wa fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Sasa sio taarifa za internet tena Sitta aambiwe aombe radhi wabunge na Umaa kwa kutoa matamshi yenye utata
Akiongea D. Balali (aliyekuwa gavana wa BOT)na waandishi wa habari DSM
''Tuhuma zote ni za uzushi, hao wanaona wivu kwa vile sikuwapitishia mikopo yao''
Watanzania ni wanyonge kifikra na wamekosa uzalendo wa nchi yao, ndiyo maana wameruhusu baadhi ya watu kufanya ubadhirifu by Balali alipokuwa anaongea na waandishi wa habari
"Taarifa iliyotolewa kwenye intaneti ni uongo mtupu tena haina jina halisi la mwandishi," alisema Bw. Balali kwenye mkutano huo ambao ajenda kuu ilikuwa hali ya uchumi nchini
"Hatulindi mali zetu na ukienda kwenye madini utakuta watu wamejichimbia," alisema Bw. Balali
"Niko comfortable (nimetulia) kabisa na moyo wangu ni mweupe na ninafanya kazi nzuri kama kawaida," alisema Bw. Balali na kuongeza kuwa amefurahi kutekelezwa kwa maombi yake kwa Rais ya kupewa wasaidizi ili aboreshe kazi yake ikiwamo ya kuwa karibu na waandishi kwa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya uchumi.
Quote From:- Balali
''Tuhuma zote ni za uzushi, hao wanaona wivu kwa vile sikuwapitishia mikopo yao''
Rais mstaafu wewe ni kiongozi madhubuti na shupavu tangu zamani na hata sasa kwani kwa jinsi hawa jamaa wanavyoendelea kukuandama ungekuwa si shupavu ungekuwa umeshaanguka.
Asante sana kwa kututumikia Watanzania,`` alisema Dk. Maliki
Mzee huyu alionekana Dodoma kwenye maswala ya chama sisiem Je amestaafu siasa gani?``Naona Dk. Maliki anataka kuniingiza kwenye mijadala ya kisiasa, hakuna namna, mimi nimestaafu,``