Kauli Tata ya Zuchu...

Kauli Tata ya Zuchu...

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Kwenye ukurasa wake kaandika kitu ambacho ni tata je? Anataka kutoa wimbo mpya au hayupo kwenye mahusiano tena...
FB_IMG_1662064130238.jpg
 
Ashukuru kaachwa akiwa single kabisa yani singo singo....wenzie waanachwaga double
 
Mi naona itabidi apigee miswaki mingi sanaa maana Sio kwa shomboo la domo lile la boyifrendi wake,
 
Hayatuhusu, apambane na hali yake
 

Huyu Ndiyo Alisema Diamond Alimpata Akiwa Masikini Haa Nchi Hii Kazi Sana

 

Huyu Ndiyo Alisema Diamond Alimpata Akiwa Masikini Haa Nchi Hii Kazi Sana

 
Kuna ajabu gani kwani kwa ujumbe wake huo?
 
Ole wak amuachee hee ndio atajua rang zetu wanznz
Kam hapajui kojani aulizee
 
Back
Top Bottom