Kuna wewe halafu kuna yule jamaa huwa anauliza "ndio nani huko Daslam" 😀😀 Ngoja afike tusikie.Ndo nani....?
Mbona unamwelezea kama MTU Fulani WaTz wote wanamfahamu?
Ndo nani....?
Mbona unamwelezea kama MTU Fulani WaTz wote wanamfahamu?
Lete maneno.....Huyu Ndiyo Alisema Diamond Alimpata Akiwa Masikini Haa Nchi Hii Kazi Sana