Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala mkubwa kitaifa kuhusu mbinu za adhabu shuleni. Aidha, alipokuwa Iringa alifunguka alivyokabiliana na kijana aliyevamia nyumabni kwake, huku Dar akidai kudhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma.
1. Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma
Chalamila hapa anasema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
Your browser is not able to display this video.
2. Akiwa RC MBEYA, Chalamila alisema Bar na Makanisa Shindaneni, Bia inaongeza Kinga
Your browser is not able to display this video.
3. Wakati akiwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati akizungumzia ujio wa Rais Samia kwa ziara ya kikazi aligusia suala la Wananchi kujitokeza na mabango mbele ya Rais na kuzua mjadala mitandaoni

4. Chalamila alivyozungumzia kauli ya kuambiwa mpenda mapenzi
Your browser is not able to display this video.
5. Chalamila alivyodhani Rais akiwa madarakani kwamba hawezi kufariki, "Nilishika moyo wangu na kumuuliza mke wangu au nimekufa na hutaki kuniambia"
Your browser is not able to display this video.
6. Kauli ya Pombe na Kazi
Your browser is not able to display this video.
7. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila alivyowacharaza fimbo wanafunzi
Your browser is not able to display this video.
Soma, pia Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini
Albert Chalamila, akiwa Mkuu wa Mkoa katika mikoa tofauti, alijipatia umaarufu kutokana na kauli zake tata na zingine ambazo mara nyingi ziliwaacha watu hoi. Akiwa katika Mkoa wa Mbeya, aliwahi kusikika akitoa agizo la kuchapa viboko wanafunzi walioteketeza mabweni, jambo lililozua mjadala mkubwa kitaifa kuhusu mbinu za adhabu shuleni. Aidha, alipokuwa Iringa alifunguka alivyokabiliana na kijana aliyevamia nyumabni kwake, huku Dar akidai kudhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma.
1. Tulidhibiti Wizi wa Transfoma kwa kuwanywesha Wezi Mafuta ya Transfoma
Chalamila hapa anasema vitendo vya wizi wa mafuta ya transfoma katika mkoa wa Dar es salaam vilikirthiri, hivyo ili kukomesha vitendo hivyo waliamua kuwa yeyote atakayekamatwa anafanya vitendo hivyo atanyweshwa mafuta ya transfoma na mpaka sasa hakuna wizi wa transfoma Dar es Salaam
3. Wakati akiwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati akizungumzia ujio wa Rais Samia kwa ziara ya kikazi aligusia suala la Wananchi kujitokeza na mabango mbele ya Rais na kuzua mjadala mitandaoni
Viongozi wa Serikali wa namna hii eti Tiss ndio inajinasibu kwamba iliwafanyia kwanza Vetting ya kina kabla ya kuteuliwa kwao na kuwaona kwamba eti wanafaa kuteuliwa kushika madaraka katika Ofisi za Umma!!

Ni kweli kabisa, umma unahabarika kwa Habari ambazo kamwe isingewezekana zipatikane kwa njia za kawaida ambazo zimezoeleka, Participant-Observer Whistle blower