a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
11. Suala lipo kwenye upembuzi yakinifu.🤣🤣 Ukisikia hivyo jua ndo basi tena. Hawa bakita wanazalisha misamiati ya kutupuga Kila siku eti upembuzi yakinifu.Kauli ukizikisia mara nyingi ujue hapo hakuna utekelezaji.
1. Tumelichukua tunalifanyia kazi..
2. Tupo kwenye mchakato
3. Uchunguzi bado unaendelea
4. Hilo nalo mkalichunguze huko
5. Tutakuita, tutakupigia simu..
6. Muuzaji ukisikia nitarudi siku nyingine kununua
7. Pole sana tupo pamoja
8. Nitakutafuta, nitakucheki usihofu
9. Kuna issue bado naisikilizia mambo yakikaa sawa
10. Tuombe uzima tu