Kauli walizoongea watu mashuhuri tofauti kuhusu goal la Giroud

Kauli walizoongea watu mashuhuri tofauti kuhusu goal la Giroud

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
PELE : goal alilofunga Giroud halita fungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17..

DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la Giroud.. Nikampigia Eden Hazard simu aje mazoezini.. Alipofika amenipigia krosi mipira elf 2 tena nikiwa bila kipa.. Nasema nikimuogopa Mungu. Nimeshindwa kufanya alichofanya Giroud..

LIONEL MESSI : Watu wanasema mimi ni kiumbe wa sayari nyingine.. Lakini baada ya kulitazama goal la Giroud.. Naanza kuamini, huenda Giroud tunatoka naye sayari moja..

MALKIA ELIZABETH : Kama kesho kusingekuwa na mechi za ligi kuu. Ningeamuru waziri mkuu atangaze iwe siku ya mapumziko.. Ili watu watulie majumbani mwao. Kuangalia marudio ya goal la Giroud..

CHRISTIANO RONALDO :. Kama Giroud angefunga hili goal kabla sijakabidhiwa Ballon dour.. Nisingethubutu kupata ujasiri wakuipokea ile tuzo..

ANTHONY LUSEKELO: Mungu amenijalia upako wa kutenda miujiza tofauti chini ya mbingu .. Lakini sio kama ile aliyoifanya Oliver Giroud..
 
Kwani ameshashinda hiyo tuzo ya goli bora??
 
HAKIKA NI GOLI LA KIMATAIFA DUUUUU
Olivier Giroud Scorpion Kick Goal vs Crystal Palace (Giroud Goal vs Crystal Palace)
 
Ila yee mwenyewe anakiri ilikuwa zali tu, alikwa anaitegemea krosi ya sanchez ila sanchez akapiga mpira nyuma yake kidogo akajarib kuunganisha hvyo hvyo..

Ni goli bora linafaa tuzo
 
Ina maana hilo goli kawafunga wote wewe na motheri wako?
 
Ha ha ha ha we mtu Wa Arsenal umetisha asee. Ha ha ha ha
 
Kumbe scorpion kick zipo kibao na Kali kuliko hiuo ya giroud
 
Ila we mjinga nilivoanza kusoma nilijua kweli ila nilivofika hapo kwa messi nkajua kabisa hapa unatupaka poda
 
Back
Top Bottom