Kauli ya Ali Kamwe kuhusu malalamiko ya kupangiwa kikosi

Kauli ya Ali Kamwe kuhusu malalamiko ya kupangiwa kikosi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
AMEANDIKA ALLY KAMWE [emoji3578][emoji3593][emoji23]

"Makolo msipoteze nguvu zenu Bure...Hayo Maelekezo ya Kikosi mnachokitaka kwa Singida, Mtawapa wapange Siku mkicheza nao [emoji3]"
1739800795078.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kunuka mavi
"Sisi tuna ukaribu na timu zote za Ligi Kuu kwasababu kama ni points wote huwa wanatuchangia tunapochukua ubingwa, tena bora Singida anatuchangania points na magoli machache kuna watu wanatuchangia points na Magoli mengi, mbona wanataka kuvunja ujamaa na sisi?

Alikamwe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ushauri mzuri sana huu. Siku ya kucheza tena na SBS, wapange wao kikosi cha wachezaji wa kucheza nao. Siyo kila siku kuipangia Yanga tu.
 
Back
Top Bottom