"Sisi tuna ukaribu na timu zote za Ligi Kuu kwasababu kama ni points wote huwa wanatuchangia tunapochukua ubingwa, tena bora Singida anatuchangania points na magoli machache kuna watu wanatuchangia points na Magoli mengi, mbona wanataka kuvunja ujamaa na sisi?