Kauli ya elimu bilayamalipo bado inautatanishi visiwani zanzibar

talbiimabii

New Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wakaazi wa visiwa vya zanzibar wakiwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na ilekauli ya Rais wa kwanza Marehemu MZEE ABEID.AMANI.KARUME.Alipotamka kuwa, elimu ya wazanzibar ni kusoma bila malipo yeyote,kwa kila mzanzibar.Sasa wito wa marehemu bado hautendewi haki,baada ya kusoma bila malipo sasa wanafunzi wanalazimika kutoa nusu ya gharama kwa wanafunzi wanaosoma katika skuli za serikali,haliambaya inawawiya vigumu wazazi wa wanafunzi hao,kwani hushindwa kulipia ada {karo}za watoto wao nakupelekea kuwakatisha masomo watoto wao.Jee hii ni haki kuupinga wito {kauli}ya mkombozi wa nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…