Kauli ya IGP Sirro yaibua mapya, wadau waeleza

Na rushwa atachukua vip kwa mita kumi watakufa njaa
 
Huyu mzee hatufai kwa kweli
 
ZERO kaanza kuonyesha dalili zote za mtu taahira afukuzwe haraka sana kabla hajasababisha mauaji ya kutisha nchini kupitia polisiccm.
 
Kwa kauli hizo hata wale polisi-jamii waondolewe katika majukumu ya usaidizi wa polisi.Halafu hao polisi wahamishiwe wote kwenye makambi yao.Kwa ufupi wawe na huduma zao zoootee za kijamii,kiuchumi nk.Wawe wanatoa huduma ya ulinzi na usalama kutokea milimani au kwenye minara Kama snipers.Asisahau kuwatengenezea mfumo mzuri wa kuoana kutoka humohumo kwenye familia zao.
 
Hatuwezi kuwa na kiongozi bogus kiasi hicho mseme mna Taifa la kujivunia,Hamza hakuwa mpumbavu kushambulia polisi wetu Bali polisi Kuna kitu walimfanyia Hamza huenda ikapelekea Hamza kulipiza kisasi.kauli ya igp Haina afya kwa taifa.
 
Kweli umepitia Uwanja ww Damu
 
Kosa kubwa alofanya mkuu ni kuwa anazungumza kila wakati.

Kuna watu hiyo ni kazi yao. Wao ndio wasemaji.

Asiwasaidie kazi yao.

Kuna wakati fulani huyu anasema hivi na huyu anasema hivi mnakuwa mnatofautiana maelezo.

Kila kanda ina msemaji wake afanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…