Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Jenista nilijua kugaragara mbele ya Samia kutambeba kumbe alikuwa anamkera mkuu kwa kumtimlia vumbi bila kujua.
Waziri wa afya mwenye diploma ya ualimu wa shule za msingi. Ilikuwa aibu ya mwaka. Afadhali wamemuacha pamoja na ushirikina wake!Pamoja na kugalagala chini bado amepigwa chini huyu jenista alikuwa mjinga mno
View attachment 3503273
.
Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono juhudi na maono mazuri ya uongozi wako pamoja na Serikali ya Awamu ya 6 unayoiongoza. @samia_suluhu_hassan
Naomba pia kuwashukuru wananchi na matajiri wangu wananchi wa Jimbo la Karagwe kwa ushirikiano na imani kwangu. Sasa nimepata muda wa ziada wa kukaa jimboni ili kazi iendelee na kwa kasi zaidi.
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
Wote watanganyikq
πππππJenista Mhagama huyu huwa analala mpaka kwenye vumbi ila wamemla kichwa
πππππPamoja na kugalagala chini bado amepigwa chini huyu jenista alikuwa mjinga mno
πππππJenista nilijua kugaragara mbele ya Samia kutambeba kumbe alikuwa anamkera mkuu kwa kumtimlia vumbi bila kujua.
Huyu sijawahi kumuelewa, nadhan alikuwa na bahati tuu ila cv ni zero kabisaJenista nilijua kugaragara mbele ya Samia kutambeba kumbe alikuwa anamkera mkuu kwa kumtimlia vumbi bila kujua.