KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025.
Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni wetu swali kwa Makamba kama yeye hamkubali Samia hao wengine ni kina nani? maana sijawahi kusikia Waziri, Mkuu wa Mkoa wala DC akisema hata kama hatumkubali Samia.
Pia soma Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu