hana cha kuwaambia wana mtwara zaidi ya kuwajaza ma hope.. Mimi nilitegemea akienda kufungua barabara ya lami au mahospitali .lakini yeye ameishia kwenda kukakagua shamba la mihogo .

hivi ni kweli hilo shamba la heka 3 alilokagua..

Juzi Rais JK akiwa ziarani Mtwara, alinukuliwa na vyombo vya habari akiwataka wakazi wa Mtwara wajiandae kupokea uchumi mkubwa kwa kuwa Mtwara kuna hazina kubwa ya gesi na Mafuta. Hadi sasa sijajua mantiki ya kauli ya Mh Rais, maana tunajua kuwa kuna gesi Kilwa (Songosongo Island) na pia mwaka juzi tulitangaziwa kugunduliwa kwa gesi nyingi Mkuranga. Nijuzeni Wana wa jambi; Je, Mafuta yameshagundulika Tanzania?

kama kweli kuna mafuta na gesi wataanza kuhamishwa au kula kwa macho kama vile kwenye maeneo ya migodi ambapo wakazi wa maeneo husika hawafaidi chochote pamoja na kuwa karibu na migodi. Sana sana kutaibuka migogoro tu, kama eneo alilokuwa anatokea ken sarowiwa wa Nigeria.

Nina ushahid wa kuwepo kampuni inayotoa crude oil hapa TZ hivi tunavyoongea. Na sio unafik wala umbea. Nitatoa details kwa mwandish anayeweza ku expose hii kitu,coz its very fishy.

Sasa kama mkuu wa nchi keshasema Mafuta yamegundulika Mtwara, issue iko wapi sasa? huko mkururanga na kwingineko ni politics tu, mpango nzima ni mtwara