Kauli ya Joh Makini baada ya kuambiwa kapotezwa kimuziki

Ni kwel joh kapotezwa sidhan kama kuna ubishi,, hana jipya kabisa joh kwa sasa
 
Mkuu mbona unanilisha Maneno? Mimi sio Shabiki wa Hip hop ila ni Shabiki wa Mziki Mzuri, album nilizokuwa nanunua ni za Juma nature wa Ugali, Prof Jay na Jay Mo wa Mvua na Jua.., sio huyu Jay Mo wenu alieswitch!!!
Kama Haimake ela basi haimake sense.
Dogo janja kuna siku alinichekesha alisema yeye kwa sasa anapigana ajikomboe kimaisha, hayuko kupigania hip hop.
Watu wanatafuta ela ndugu, kama kuswitch kunawaingizia ela basi wako radhi ukizingatia mziki ndiyo kazi yao hawajatokea familia za kishua.
 
Iakini hueleweki unachoimba..
 
Huyu jamaa namkubali sanaa..... anamistar flan ivii amizing,,,, madaraka, Amusha dude, kama sio mjanja kama mimi huwez kumwelewa,,,, ila jamaa anatisha sanaa big up joh
Ww utakuwa mshamba tu, ndo maana una jipromot kuwa u mjanja. Joh yupo vzr na kila cku anaskika, sema huo ujanja wa kijijini haukuwa na ulazma sana kwenye kucoment.
 
John alikuwa anabebwa na beef kati yake na ngosha fid lakin toka fid amkatae jamaa kapotea kinoma

Alitoa ngoma na davido kama hakijatokea kitu (in edu boy voice)

London boy
Joh anajua sanaaaa.
 
nyimbo za hip hop kama huelewi kinachoimbwa ni ngumu sana kuupenda labda upende video na beat, ni nyimbo chache sana ambazo huelewi lugha na ukaipenda maana utakuta punch lines metaphor hakuna unachoelewa.
So kusema wakina joh wangekimbiza ni ngumu sana japo sikatai mtu nyimbo inaweza pendwa hata kama haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…