Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

Siasa zimeingiliwa,hivi Lulu ktk siasa angekuwa na nini, mbona kichwani hakuna kitu kabisa..!!

Hivi Lulu na Steve Nyerere nani ana akili ? Yaani Lulu angeshindwa kuvaa madela na kuneng'ua jukwaani wimbo wa ccm mbele kwa mbele?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…